Aliye mdogo kati yenu atakuwa ukoo,aliye mdogo kuliko wote atakuwa taifa kubwa.Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu;wakati ufikapo nitayatekeleza hayo haraka.”