Isaya 60:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wako wote watakuwa waadilifu,nao wataimiliki nchi milele.Hao ni chipukizi nililopanda mimi,kazi ya mikono yangu kwa ajili ya utukufu wangu.

Isaya 60

Isaya 60:12-22