Isaya 60:19 Biblia Habari Njema (BHN)

“Hutahitaji tena jua kukuangazia mchana,wala mwezi kukumulikia usiku;maana mimi Mwenyezi-Mungu ni mwanga wako milele;mimi Mungu wako nitakuwa fahari yako.

Isaya 60

Isaya 60:10-22