Isaya 60:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Ukatili hautasikika tena nchini mwako;wala uharibifu na maangamizi ndani ya mipaka yako.Utaweza kuziita kuta zako: ‘Wokovu’,na malango yako: ‘Sifa’.

Isaya 60

Isaya 60:9-22