Isaya 60:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Malango yako yatakuwa wazi daima;usiku na mchana hayatafungwa,ili watu wakuletee utajiri wa mataifa,pamoja na wafalme wao katika maandamano.

Isaya 60

Isaya 60:1-13