Mwenyezi-Mungu asema:“Wageni watazijenga upya kuta zako,wafalme wao watakutumikia.Maana kwa hasira yangu nilikupiga,lakini kwa fadhili yangu nimekuhurumia.