Mimi nikauliza,“Bwana, mpaka lini?”Naye akanijibu,“Mpaka hapo miji itakapobaki tupu bila wakazi,nyumba bila watu,na nchi itakapoharibiwa kabisa.