Isaya 6:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha akaniambia,“Zipumbaze akili za watu hawa,masikio yao yasisikie,macho yao yasione;ili wasije wakaona kwa macho yao,wakasikia kwa masikio yao,wakaelewa kwa akili zao,na kunigeukia, nao wakaponywa.”

Isaya 6

Isaya 6:1-13