Isaya 59:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Tumekuasi na kukukana ee Mwenyezi-Mungu,tumekataa kukufuata ewe Mungu wetu.Udhalimu na uasi ndivyo tunavyopania,mioyoni mwetu twatunga na kutoa maneno ya uongo.

Isaya 59

Isaya 59:3-14