Isaya 59:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Makosa yetu mbele yako ni mengi mno,dhambi zetu zashuhudia dhidi yetu.Naam, makosa yetu tunaandamana nayo,tunayajua maovu yetu.

Isaya 59

Isaya 59:5-15