Isaya 56:6 Biblia Habari Njema (BHN)

“Watu wageni watakaonikiri mimi Mwenyezi-Mungu,watakaoniheshimu, wakapenda jina langu na kuwa watumishi wangu,wote watakaoshika Sabato bila kuikufuru,watu watakaozingatia agano langu,

Isaya 56

Isaya 56:4-12