nitampa nafasi maalumu na ya sifakatika nyumba yangu na kuta zake;nafasi bora kuliko kuwa na watoto wa kiume na wa kike:Nitampa jina la kukumbukwa daima,na ambalo halitafutwa kamwe.