Isaya 54:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Panua nafasi hemani mwako,tandaza mapazia hapo unapoishi,usijali gharama zake.Zirefushe kamba zake,na kuimarisha vigingi vyake;

Isaya 54

Isaya 54:1-4