Isaya 49:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Aliyapa ukali maneno yangu kama upanga mkali,alinificha katika kivuli cha mkono wake;aliufanya ujumbe wangu mkali kama ncha ya mshale,akanificha katika podo lake.

Isaya 49

Isaya 49:1-4