Isaya 47:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Twaa mawe ya kusagia, usage unga kama mtumwa!Vua utaji wako, ukavue na mavazi yako!Pandishia vazi lako miguuni, ukavuke mito.

Isaya 47

Isaya 47:1-9