“Teremka uketi mavumbiniewe Babuloni binti mzuri!Keti chini pasipo kiti cha enziewe binti wa Wakaldayo!Tokea sasa hutaitwa tena mwororo wala nadhifu.