Isaya 45:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Ni mimi niliyemwamuru Koreshi kuchukua hatua,atekeleze matakwa yangu.Nitazifanikisha njia zake zote;ataujenga upya mji wangu Yerusalemu,na kuwapa uhuru watu wangu walio uhamishoni,bila kutaka malipo wala zawadi.”Mwenyezi-Mungu wa majeshi amesema.

Isaya 45

Isaya 45:8-17