Isaya 45:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Ni mimi niliyeifanya dunia,na kuumba binadamu aishiye humo.Mikono yangu ndiyo iliyozitandaza mbingu,na jeshi lote la nyota liko kwa amri yangu.

Isaya 45

Isaya 45:8-17