Kwa hiyo niliwafanya haramu wakuu wa mahali patakatifunikawaacha watu wa Yakobo waangamizwe,naam, nikawaacha Waisraeli watukanwe.”