Isaya 43:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Wanyama wa porini wataniheshimu,kina mbweha na kina mbuni,maana nitaweka maji nyikani,na kububujisha mito jangwani,ili kuwanywesha watu wangu wateule,

Isaya 43

Isaya 43:12-28