Isaya 43:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Tazameni, mimi ninafanya kitu kipya.Kinafanyika sasa hivi,nanyi mtaweza kukiona.Nitafanya njia nyikani,na kububujisha mito jangwani.

Isaya 43

Isaya 43:10-20