Ni nani aliyewatia Waisraeli mikononi mwa adui zao?Nani aliyewaacha wanyanganywe mali zao?Ni Mwenyezi-Mungu ambaye tumemkosea!Wazee wetu walikataa kuzifuata njia zake,wala hawakuzitii amri zake.