Isaya 42:11 Biblia Habari Njema (BHN)

jangwa na miji yake yote ipaaze sauti,vijiji vya wakazi wa Kedari vimsifu,wakazi wa Sela waimbe kwa shangwe;wapaaze sauti kutoka mlimani juu.

Isaya 42

Isaya 42:10-14