Isaya 37:27 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakazi wake wakiwa wameishiwa nguvu,wametishika na kufadhaika.Wamekuwa kama mimea shambani,kama nyasi changa shambani,kama majani yaotayo juu ya paaau kama ngano kabla hazijakomaaambazo hunyauka upepo mkavu uvumapo.

Isaya 37

Isaya 37:25-33