Isaya 37:26 Biblia Habari Njema (BHN)

“Je, hujasikia ewe Senakeribu kwambanilipanga jambo hili tangu zamani?Ninachotekeleza sasa nilikipanga zamani.Nilikuweka uifanye miji yenye ngomekuwa rundo la magofu.

Isaya 37

Isaya 37:22-27