Mwenyezi-Mungu ameyakasirikia mataifa yote,ameghadhabika dhidi ya majeshi yao yote.Ameyapangia mwisho wao,ameyatoa yaangamizwe.