Karibieni mkasikilize enyi mataifa,tegeni sikio enyi watu.Sikiliza ee dunia na vyote vilivyomo,ulimwengu na vyote vitokavyo humo!