Humo bundi watataga mayai na kuyaatamia,wataangua vifaranga na kuviweka kivulini mwao.Humo vipanga watakutania,kila mmoja na mwenzake.