Pakamwitu na fisi watakuwa humo,majini yataitana humo;kwao usiku utakuwa mwanga,na humo watapata mahali pa kupumzikia.