Isaya 32:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Katika mwaka mmoja hivi mtatetemeka nyinyi mliotosheka;maana hamtapata mavuno yoyote,na mavuno ya zabibu yatatoweka.

Isaya 32

Isaya 32:8-11