Isaya 3:24 Biblia Habari Njema (BHN)

Badala ya kunukia marashi watatoa uvundo;badala ya mishipi mizuri watatumia kamba;badala ya nywele nzuri watakuwa na upara;badala ya mavazi mazuri watavaa matambara;uzuri wao wote utageuka kuwa aibu.

Isaya 3

Isaya 3:14-26