Umelikuza taifa letu, ee Mwenyezi-Mungu,naam, umelizidisha taifa letu.Umeipanua mipaka yote ya nchi,kwa hiyo wewe watukuka.