Watu hao wamekufa, wala hawataishi tena;wamekuwa mizimu, wala hawatafufuka.Maana wewe umewaadhibu na kuwaangamiza,hakuna atakayeweza kuwakumbuka tena.