Isaya 24:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Inapepesuka kama mlevi,inayumbayumba kama kibanda.Imelemewa na mzigo wa dhambi zakenayo itaanguka wala haitainuka tena.

Isaya 24

Isaya 24:18-21