Isaya 22:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Maofisa wenu wote walikimbia,wakakamatwa hata kabla ya kufyatua mshale mmoja.Watu wako wote waliopatikana walitekwa,ingawa walikuwa wamekimbilia mbali.

Isaya 22

Isaya 22:1-10