Isaya 22:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa nini mnapiga kelele za shangwe,na mji wote umechangamka na kujaa vigelegele?Watu wenu waliokufa hawakuuawa vitani,wala hawakuuawa katika mapigano.

Isaya 22

Isaya 22:1-11