Isaya 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Nchi yao imejaa fedha na dhahabu,hazina yao ni kubwa kupindukia.Nchi yao imejaa farasi,magari yao ya kukokotwa hayana idadi.

Isaya 2

Isaya 2:1-14