Isaya 2:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Sasa, ee Mungu, umewatupa watu wako, wazawa wa Yakobo.Maana kweli wachawi wa mashariki wamejaa kati yao,wapo na wapiga ramli kama kwa Wafilisti.Wanashirikiana na watu wageni.

Isaya 2

Isaya 2:1-10