Isaya 19:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Viongozi wa mji wa Soani ni wapumbavu kabisa,washauri wa Farao wanatoa shauri la kijinga!Awezaje kila mmoja kumwambia Farao,“Mimi ni mzawa wa mtaalamu stadi;mzawa wa wafalme wa hapo kale!”

Isaya 19

Isaya 19:4-16