Isaya 14:12 Biblia Habari Njema (BHN)

“Jinsi gani ulivyoporomoshwa toka mbinguni,wewe uliyekuwa nyota angavu ya alfajiri.Jinsi gani ulivyoangushwa chini,wewe uliyeyashinda mataifa!

Isaya 14

Isaya 14:3-17