Isaya 14:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Fahari yako imeteremshwa kuzimupamoja na muziki wa vinubi vyako.Chini mabuu ndio kitanda chako,na wadudu ndio blanketi lako!’

Isaya 14

Isaya 14:3-15