Nitawafanya watu kuwa wachache kuliko dhahabu safi;binadamu watakuwa wachache kuliko dhahabu ya Ofiri.