Isaya 13:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Nitauadhibu ulimwengu kwa uovu wake,waovu kwa sababu ya makosa yao.Nitakikomesha kiburi cha wenye majivuno,na kuporomosha ubaradhuli wa watu katili.

Isaya 13

Isaya 13:2-14