Hosea 9:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wa Efraimu wamepigwa,wamekuwa kama mti wenye mzizi mkavu,hawatazaa watoto wowote.Hata kama wakizaa watoto,nitawaua watoto wao wawapendao.”

Hosea 9

Hosea 9:8-17