Hosea 9:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Uovu wao wote ulianzia Gilgali;huko ndiko nilipoanza kuwachukia.Kwa sababu ya uovu wa matendo yao,nitawafukuza nyumbani kwangu.Sitawapenda tena.Viongozi wao wote ni waasi.

Hosea 9

Hosea 9:8-17