Hosea 8:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Waisraeli wamemsahau Muumba wao,wakajijengea majumba ya fahari;watu wa Yuda wamejiongezea miji ya ngome,lakini mimi nitaipelekea moto miji hiyo,na kuziteketeza ngome zao.”

Hosea 8

Hosea 8:12-14