Hosea 7:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Kila nikitaka kuwarekebisha watu wangu,ninapotaka kuwaponya Waisraeli,uovu wa watu wa Efraimu hufunuliwa,matendo mabaya ya Samaria hujitokeza.Wao huongozwa na udanganyifu,kwenye nyumba wezi huvunjanje barabarani wanyang'anyi huvamia.

Hosea 7

Hosea 7:1-2