Hosea 6:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Nitakutendea nini ee Efraimu?Nikufanyie nini ee Yuda?Upendo wenu kwangu ni kama ukungu wa asubuhi,kama umande unaotoweka upesi.

Hosea 6

Hosea 6:1-11