Basi tumtambue,tujitahidi kumjua Mwenyezi-Mungu.Kuja kwake ni hakika kama alfajiri,yeye atatujia kama manyunyu,kama mvua za masika ziinyweshayo ardhi.’”