Hosea 5:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Wamevunja uaminifu kwa Mwenyezi-Mungu,wamezaa watoto walio haramu.Mwezi mwandamo utawaangamiza,pamoja na mashamba yao.

Hosea 5

Hosea 5:4-15